KITABU | HISTORIA FUPI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W)

Muhtasari:
Mtume Muhammad ni miongoni mwa manabii 124,000 walioltumwa na Mwenyezi Mungu (S.W.T) hapa Ulimwenguni ili watu tupate uongofu. Pia, ni wa mwisho kati ya wanne waliokuja na vitabu, akija na Qur-an ambayo ni maneno ya Mwenyezi Mungu.
Yeye ndiye aliyekuja kuukamilisha Uislam, dini iliyoridhiwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya waja wake.
Mwenyezi Mungu anasema, “Leo Nimewakamilishieni dini yenu, na kuwatimizieni neema Yangu, na Nimewapendeleeni Islamu iwe dini yenu.” (Qur an – 05:04)
Kwa mara ya kwanza kitabu hiki kimetoka mnamo mwaka 1979 kikiwa na ISBN NO. 9976 956 533
Kupakua bofya hapa
vitabu vinavyohusiana: