MAULIDI, SI BIDA, SI HARAMU – PAKUA SASA…

 MAULIDI, SI BIDA, SI HARAMU – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu, kazi iliyofanywa na Sheikh Abdillahi Nassir na kutolewa chini ya Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Kenya, na hapa kimechapishwa tena chini ya Bilal Muslim Mission of Tanzania.

Kwenye chapisho hilo, imeelezwa maana ya Maulidi, na kuchambuliwa hoja mbalimbali juu ya kwa nini zinafanyika Maulidi…

Bofya link https://drive.google.com/file/d/1nvG509JdBRZyc2dgWP5jQIDxg9XjtC6q/view?usp=sharing kupakua

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *