MWENYEKITI MPYA WA AFRICA FEDERATION (AFED) ATEMBELEA TAASISI YA BMMT

 MWENYEKITI MPYA WA AFRICA FEDERATION (AFED) ATEMBELEA TAASISI YA BMMT

Mnamo leo tarehe 27 July 2022, Ofisi ya Makao Makuu ya taasisi Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) imepokea ugeni Adhim, wa ziara ya kwanza ya Mwenyekiti wa Afrika Federation, Alhaj Amine Nassor Tangu alipochaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni mara baada ya aliyetangulia, kumaliza muda wake.

kuliani ni Rais wa Africa Federation (AFED), Alhaj Amine Nassor, na Kushotoni ni Mwenyekiti wa Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT), Alhaj Hussein Kariim. wakiwa ndani ya Ofisi za Makao Makuu ,BMMT.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *