TAARIFA YA MACHAPISHO MAPYA YA VITABU

 TAARIFA YA MACHAPISHO MAPYA YA VITABU

Salam alykum, mzigo mpya umeingia dukani #bilalbooks miongoni mwa vitabu vipya ni hivi vilivyoandikwa na Tijani Samawi na kutarjumiwa na Sheikh Msabaha S. Mapinda.

Vitabu vingine vipo vikiwemo vya Maasumin #watukufu 14.

Fika Dukani kwetu ujipatie nakala yako bure kabisa!Tupo mtaa wa Libya karibu na kituo cha mabasi ya mwendokasi Kisutu – Dar es salaam. Unaweza pia kuwasiliana nasi kupitia namba za simu: +255 678 888 795 au barua pepe: bookshop@bilal.or.tz

#bilaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *