Tunapenda kuwajulisha wadau, washirika, na umma kwa jumla kuhusu
mabadiliko mapya katika safu yetu ya uongozi,yaliyolenga kuongeza
ufanisi na tija katika utendaji wetu.
Kusoma taarifa kamili, tafadhali pakua na usome barua rasmi iliyoambatanishwa hapa chini