UISLAM – PAKUA SASA

 UISLAM – PAKUA SASA

Uislam kama dini nyingine zilizopo ulimwenguni una misingi yake ambayo husaidia kuitambua dini husika na kuitofautisha na dini nyingine. Katika kitabu hiki imeelzwa kwa kina misingi (Itikadi/Mizii) ya Uislam kulingana na mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w), Sunna na Qur-an na Maimamu.

Ikumbukwe kuwa Mwenyezi Mungu (S.W.T) amethibitisha kupitia maneno yake mwenyewe kwenye Qur-an kuwa dini hii ya Uislam ndio hasa iliyowafaa zaidi waja wake.

Mwenyezi Mungu anasema, “Leo Nimewakamilishieni dini yenu, na kuwatimizieni neema Yangu, na Nimewapendeleeni Islamu iwe dini yenu.” (Qur an – 05:04).

Bofya link https://drive.google.com/file/d/1xGO68qVVBJJ_CJPPgTIuCu0lpofIIwBm/view?usp=sharing kupakua

Kitabu kimeandikwa na Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi na kimetarjumiwa na Maalim Dhikiri Kiondo na kutoka kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1968 kikiwa na ISBN NO. 9976 956 44 4

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *